Lugha Nyingine
Utamaduni wa Kale wa Dolan nchini China Waonyesha Haiba Nzuri (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 26, 2024
Watoto wakicheza ngoma katika eneo ya kivutio?cha watalii la Dolan, Wilaya ya Awati, Mkoa Unaojiendesha wa Kabila la Wauygur wa Xinjiang, China, Septemba 25.( Xinhua/Ren Qinqin) |
Wilaya ya Awati ya Eneo la Aksu katika Mkoa wa Xinjiang nchini China ni mojawapo kati ya maeneo chimbuko la utamaduni wa Dolan. Sanaa nane za jadi zikiwemo za Dolan Maxrap, Dolan Muqam, ujuzi wa kutengeneza pombe ya Musalais, na sanaa ya Dolan Rawab zimeorodheshwa kwenye Orodha ya Miradi ya Uhifadhi wa Urithi wa Utamaduni usioshikika wa Ngazi ya Mkoa Unaojiendesha. Kati yake sanaa ya Dolan Maxrap imeorodheshwa kwenye Orodha ya Miradi ya Uhifadhi wa Urithi wa Utamaduni Usioshikika wa Kitaifa. Eneo hilo la kivutio cha watali la Dolan limekuwa likivutia watalii wengi kwa ajili ya kustarehe na burudani.?
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma