Lugha Nyingine
Mtambo wa kuzalisha umeme kwa nishati ya jotoardhi uliojengwa na Kampuni ya China wawezesha uhamaji wa Kenya kuelekea nishati safi (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 27, 2024
Ukuaji wa uchumi wa Kenya umeambatana na ongezeko la mara kwa mara la mahitaji ya umeme, likifanya ufuatiliaji na ujenzi wa vyanzo vya nishati ya kijani na nafuu kuwa jambo la lazima.
Katika Kaunti ya Nakuru, Mtambo wa Kuzalisha Umeme wa Megawati 35 kwa Jotoardhi wa Sosian Menengai, uliojengwa na Kundi la Kampuni za Kaishan la China, ulianza usambazaji umeme tangu Juni 2023, ukiwezesha uhamaji wa Kenya kwenda kwenye nishati safi.?
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma