超碰caoporen国产公开,国产乱子伦精品免费视频,日韩美女一级黄片,丰满少妇棚拍无码视频

Sera ya msamaha wa visa yachochea wimbi la "Kutalii China"

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 06, 2024
Sera ya msamaha wa visa yachochea wimbi la
Watalii kutoka Korea Kusini wakitembelea Jumba la Bustani ya Yuyuan mjini Shanghai, mashariki mwa China, Desemba 4, 2024. (Picha na Chen Haoming/Xinhua)

BEIJING - Kupanua sera ya msamaha wa visa ni hatua muhimu ya China kuelekea kufungua mlango zaidi, na hatua hiyo pia inaonyesha imani ya China kwenye jukwaa la kimataifa. Hadi kufikia sasa, nchi 38 zinafurahia upatikanaji wa huduma hiyo ya msamaha wa visa wa upande mmoja, na muda mrefu zaidi kwa wageni kuingia na kuwepo nchini China bila visa umeongezwa hadi siku 30 kufikia Novemba 30.

Katika robo ya tatu ya Mwaka 2024, idadi ya wageni walioingia China ilifikia milioni 8.186, ikiwa ni ongezeko la asilimia 48.8 kuliko mwaka uliopita wakati kama huu. Kati yao, milioni 4,885 waliingia China kwa msamaha wa visa, ikifikia ongezeko la 78.6% kuliko mwaka uliopita.

"Kutalii China" kunawezesha dunia kuona moja kwa moja mafanikio ya maendeleo ya ujenzi wa mambo ya kisasa wa China, na kujionea haiba ya utamaduni wa China, hali mpya ya teknolojia inayobadilisha maisha, maisha mazuri ya wakazi wa mijini na vijijini wa China, na ustaarabu wa kiikolojia nchini China.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha