超碰caoporen国产公开,国产乱子伦精品免费视频,日韩美女一级黄片,丰满少妇棚拍无码视频

Maeneo ya kihistoria yaliyokarabatiwa ya Macao, China yavutia wenyeji na watalii (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 13, 2024
Maeneo ya kihistoria yaliyokarabatiwa ya Macao, China yavutia wenyeji na watalii
Watu wakijipiga picha ya selfie kwenye eneo la Kiwanda cha Meli cha Lai Chi Vun lililokarabatiwa upya katika Mkoa wa Utawala Maalum wa Macao (SAR), Kusini mwa China, Desemba 7, 2024. (Xinhua/Cheong Kam Ka)

Serikali ya Mkoa wa Utawala Maalum wa Macao (SAR) nchini China siku zote inajikita katika kukarabati na kutumia kwa kufaa maeneo ya kihistoria katika mkoa huo. Idadi ya wenyeji na watalii wanaotembelea maeneo hayo imeongezeka siku hizi ili kuhisi haiba ya mafungamano kati ya tamaduni za jadi na za kisasa.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha