Lugha Nyingine
China yarusha kundi la satalaiti za intaneti kwenda anga ya juu
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 17, 2024
WENCHANG - China imefanikiwa kutuma kundi la kwanza la satalaiti za obiti ya chini ya Dunia kwa ajili ya kundinyota la satalaiti ya intaneti kutoka Eneo la Kurushia Satalaiti kwenda Anga ya Juu la Wenchang katika Mkoa wa Hainan, kusini mwa China siku ya Jumatatu ambapo majira ya saa 12 jioni (Saa za Beijing), kundi hilo la satalaiti lilirushwa na roketi ya kubeba ya Long March-5B pamoja na jukwaa la Yuanzheng-2 (Expedition-2) likiwa juu yake huku zikiingia kwenye obiti zilizopangwa awali.
Urushaji huo ni safari ya 552 ya roketi za kubeba za mfululizo wa Long March.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma