Lugha Nyingine
Bustani ya Ufukweni kwa ajili ya kujenga mwili yawa kivutio huko Senegal
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 29, 2021
Eneo la mazoezi ya kujenga mwili lililoko kwenye Ufukwe wa Dakar, Mji Mkuu wa Senegal, ambalo lina vifaa zaidi ya 400 vya mazoezi na bustani ya burudani kwa watoto, lilijengwa na kukamilishwa kwa msaada wa Ubalozi wa China nchini Senegal na kampuni za China zilizoko Senegeal Mwaka 2016. Hivi sasa eneo hilo lenye bustani la pembezoni mwa bahari limekuwa mradi wa ushirikiano kati ya China na Senegal katika maisha ya kawaida ya watu, likiwa kivutio kwa watu wanaopenda kufanya mazoezi ya kujenga mwili na watu maarufu wa mitandaoni.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma