Lugha Nyingine
"Timu ya Upigaji Picha ya Mazingira ya Asili" inakutana na chui wa theluji wakati wa kufanya doria mlimani (3)
Hivi majuzi, mwanachama Gong Gari wa "Timu ya Picha ya Mazingira ya Asili", alikutana na chui wa theluji aliyepumzika na alipiga picha akirekodi mwonekano wake wa kishujaa alipofanya doria kwenye milima katika kijiji cha Bagan, Wilaya ya Qumalai, Tarafu ya Yushu, Mkoa wa Qinghai. "sasa mimi hukutana na chui wa theluji mara tatu au nne kwa wiki." Katika miaka ya hivi karibuni, kutokana na uboreshaji wa mazingira ya kiikolojia katika eneo la Sanjiangyuan, wakiwa viumbe wa aina muhimu zaidi kwenye Uwanda wa juu wa Qinghai-Tibet, chui wa theluji wameonekana mara kwa mara katika Hifadhi ya Kitaifa ya Sanjiangyuan.
Watu wateleza kwenye mawimbi na kufurahia mandhari nzuri ya Wanning, Hainan
Bustani ya Wanyama ya Chongqing yawasaidia wanyama kuepuka joto
Watu wafuruhia hali ya hewa nzuri wakati wa majira ya joto kwenye sehemu ya Mto Wujiang, Chongqing
Bwawa la Sanmenxia la katikati mwa China laanza kufanya kazi ya Kuondoa tope la mchanga
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma