Lugha Nyingine
Mkutano wa pili wa Baraza la 14 la Mashauriano ya Kisiasa la Umma la China wafunguliwa mjini Beijing (7)
(CRI Online) Machi 04, 2024
Mkutano wa pili wa Kamati ya Kitaifa ya 14 ya Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la Umma la China (CPPCC) umefunguliwa leo Jumatatu saa tisa alasiri katika Jumba la Mikutano ya Umma mjini Beijing.
Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) ambaye pia ni Rais wa China, na Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi ya China, Xi Jinping pamoja na viongozi wengine wa Chama na serikali wamehudhuria ufunguzi wa mkutano huo.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Deng Jie)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma