超碰caoporen国产公开,国产乱子伦精品免费视频,日韩美女一级黄片,丰满少妇棚拍无码视频

Bunge la Umma la China lafanya mkutano na waandishi wa habari kabla ya mkutano wake mkuu wa mwaka (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 04, 2024
Bunge la Umma la China lafanya mkutano na waandishi wa habari kabla ya mkutano wake mkuu wa mwaka
Waandishi wa habari wakiwa wamenyoosha mikono kuuliza maswali kwenye mkutano na waandishi wa habari wa mkutano wa pili wa Bunge la Umma la 14 la China (NPC) katika Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, China, Machi 4, 2024. (Xinhua/Cai Yang)

BEIJING - Bunge la Umma la China (NPC) limefanya mkutano na waandishi wa habari leo siku ya Jumatatu, ikiwa ni siku moja kabla ya ufunguzi wa mkutano wake wa mwaka.

Lou Qinjian, msemaji wa mkutano wa pili wa Bunge la Umma la 14 la China amewaelezea waandishi wa habari kuhusu hali ya mkutano huo uliopangwa kuanzia Machi 5 hadi 11.?

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Deng Jie)

Picha