Lugha Nyingine
Wajumbe wanawake wa Bunge la Umma na Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China wang’ara kwenye mikutano mikuu miwilli inayoendelea (7)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 09, 2024
Siku ya Tarehe 8, Machi ilikuwa Siku ya Wanawake Duniani.
Katika mikutano mikuu miwili ya China inayoendelea ya Bunge la Umma la China na Kamati ya Kitaifa ya Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la Umma la China (CPPCC), wajumbe na washauri wa kisiasa wanawake wanafanya kazi muhimu katika kukusanya hekima ili kusukuma mbele maendeleo ya nchi ya China.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Deng Jie)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma