Lugha Nyingine
Watalii watembelea eneo lenye mandhari nzuri la Mlima Fairy la Chongqing, China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 24, 2024
Watalii wakifurahia kucheza michezo kwenye Bustani ya Kitaifa ya Misitu ya Mlima Fairy katika Eneo la Wulong la Mji wa Chongqing, Kusini-Magharibi mwa China, Julai 22, 2024. |
Likitegemea hali yake safi ya hewa na mazingira ya asili ya kupendeza, eneo hili lenye mandhari nzuri la Mlima Fairy, lililoko kwenye mwinuko wa mita 1,100 hadi 2,033 kutoka usawa wa bahari, limekuwa kivutio maarufu kwa watu kukwepa joto kali la majira ya joto.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma