超碰caoporen国产公开,国产乱子伦精品免费视频,日韩美女一级黄片,丰满少妇棚拍无码视频

Kuingia kwenye Kijiji cha Olimpiki cha Paris (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 24, 2024
Kuingia kwenye Kijiji cha Olimpiki cha Paris
Wachezaji na maofisa kutoka jumbe za nchi mbalimbali wakitoka na kuingia kwenye mgahawa wa Kijiji cha Olimpiki cha Paris, tarehe 23, Julai.

Tarehe 23, siku ya Jumanne, kamati ya maandalizi ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Joto ya Paris iliwaalika waandishi habari kutembelea kijiji cha Olimpiki cha Paris. Kijiji hicho kinachukua eneo lenye ukubwa wa hekta 52 hivi na kinapatikana kwenye kitongoji cha Kaskazini cha Paris. Majengo zaidi ya 82 na maghorofa ya makazi karibu 3,000 yamejengwa. Wakati wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Joto, kijiji hicho kitapokea wachezaji na wafanyakazi zaidi ya 14,000, na wakati wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Joto kwa Walemavu ya mwaka huu kitapokea karibia watu 9,000.

Picha na Hu Huhu/Xinhua

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha