Lugha Nyingine
Teknolojia za kisasa zaonyeshwa katika Maonesho ya 8 ya China na Nchi za Asia Kusini (8)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 26, 2024
Mtoto akitazama roboti ya AI ikitengeneza michoro kwenye Maonyesho ya 8 ya China na Nchi za Asia Kusini mjini Kunming, Mkoa wa Yunnan, kusini-magharibi mwa China, Julai 25, 2024. (Xinhua/Wang Jingyi) |
KUNMING - Maonyesho ya 8 ya China na Nchi za Asia Kusini yalifunguliwa siku ya Jumanne wiki hii mjini Kunming, Mkoa wa Yunnan, kusini-magharibi mwa China, yakivutia waonyeshaji bidhaa zaidi ya 2,000 ambapo watembeleaji wake wanaweza kufahamishwa na kujaribu vitu mbalimbali vinavyoonyeshwa ambavyo vimeundwa kwa teknolojia za kisasa katika sekta za uchumi wa kidijitali, akili bandia, nishati ya kijani, uchumi wa nyanda za chini na nyinginezo.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma