超碰caoporen国产公开,国产乱子伦精品免费视频,日韩美女一级黄片,丰满少妇棚拍无码视频

Washindi wa medali za dhahabu wang'ara katika Siku ya 3 ya Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024 (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 30, 2024
Washindi wa medali za dhahabu wang'ara katika Siku ya 3 ya Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024
Mchezaji wa China Sheng Lihao akionyesha ishara kwenye fainali ya kulenga shabaha kwa kufyatua risasai kutoka umbali wa mita 10 kwa wanaume katika Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024 huko Chateauroux, Ufaransa, Julai 29, 2024. (Xinhua/Zhang Fan)

PARIS – Jionee mkusanyiko wetu wa picha zenye kujumuisha washindi mbalimbali wa medali za dhahabu ambao wameonyesha vipaji vyao vya kipekee na ustadi murua wa kimichezo katika Siku ya 3 ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Joto ya Paris 2024. Hebu tusherehekee mabingwa hawa na mafanikio yao ya kushangaza!

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha