Lugha Nyingine
Michezo ya Kupanda Farasi?ya"Agosti?Mosi" yaanza?katika Wilaya ya Litang Mkoa wa Sichuan,?China (9)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 31, 2024
Mpanda farasi (kulia) akionyesha ustadi wake mzuri wa kupanda farasi kwenye uwanja wa michezo ya kupanda farasi wa Duowangtang katika wilaya ya Litang, China, Julai 30. (Xinhua/Jiang Hongjing) |
Siku ya Jumanne, Julai 30, michezo ya kupanda farasi ya "Agosti Mosi" huko Litang mkoani Sichuan, China ilianza rasmi kwenye uwanja wa michezo ya kupanda farasi wa Duowangtang, huku takriban watu elfu moja kutoka vitongoji vyote vya wilaya hiyo wakikusanyika pamoja. Michezo mbalimbali ya kistadi ya farasi kwenye uwanja huo, kama vile uokotaji wa Hada, kufyatua risasi ukiwa juu ya farasi, kupiga mshale ukiwa juu ya farasi, kuruka kwa ustadi wakati wa kupanda farasi na kadhalika, iliwapa wenyeji na watalii burudani yenye uhondo mwingi.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma