Lugha Nyingine
China yarusha satalaiti ya aina mpya ya huduma za intaneti kwenye obiti ya anga ya juu (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 02, 2024
Roketi ya Changzheng 3B iliyobeba satalaiti ya aina mpya ya utoaji huduma za intaneti kwenye obiti ya anga ya juu ikirushwa kutoka kwenye Kituo cha Urushaji Satelaiti cha Xichang katika Mkoa wa Sichuan, Kusini Magharibi mwa China, Agosti 1, 2024. (Picha na Hu Zenghui/Xinhua) |
XICHANG - China imetuma imerusha satalaiti ya aina mpya ya utoaji huduma za intaneti kwenye obiti ya anga ya juu siku ya Alhamisi kutoka Kituo cha Urushaji Satalaiti cha Xichang kilichoko Mkoa wa Sichuan, kusini magharibi mwa China ambako satalaiti hiyo imerushwa majira ya saa 3:14 usiku (Saa za Beijing) ikibebwa na roketi ya Changzheng 3B na kufaulu kuingia kwenye obiti yake iliyopangwa kwenye anga ya juu.
Urushaji huo unamaanisha safari ya 529 ya kutekeleza jukumu ya mfululizo wa roketi za Changzheng.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma