Lugha Nyingine
Wanakijiji wa Kijiji cha Kale Waanika?Mazao?ya Kilimo?Juani?huko Huangshan, Mkoa wa Anhui, China (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 21, 2024
Mwanakijiji wa Kijiji cha Chengkan, Wilaya ya Huizhou, mji wa Huangshan, Mkoa wa Anhui akipeleka mazao ya kilimo ili kuyaanika uwanjani, Agosti 19, 2024. (vip.people.com.cn/Shi Yalei) |
Katika majira ya mpukutiko, wanakijiji wa Kijiji cha Chengkan wamechukua fursa ya hali nzuri ya hewa kuanika mahindi, maboga, pilipili hoho na mazao mengine ya kilimo, hali ambayo inavutia watalii wengi kutembelea na kufurahia mavuno mazuri.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma