超碰caoporen国产公开,国产乱子伦精品免费视频,日韩美女一级黄片,丰满少妇棚拍无码视频

China yaongeza mwitikio wa dharura kwa kimbunga Yagi katika Mikoa ya Guangdong na Hainan hadi Ngazi ya Pili (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 06, 2024
China yaongeza mwitikio wa dharura kwa kimbunga Yagi katika Mikoa ya Guangdong na Hainan hadi Ngazi ya Pili
Eneo la utalii la Dadonghai lilifungwa kwa umma huko Sanya, Mkoa wa Hainan, kusini mwa China, Septemba 5, 2024. (Xinhua/Zhao Yingquan)

BEIJING - Idara Kuu ya Kudhibiti Mafuriko na kupambana na Ukame ya China yameongeza mwitikio wake wa dharura wa kuzuia mafuriko na kimbunga kutoka ngazi ya tatu hadi ngazi ya pili katika mikoa ya Guangdong na Hainan saa 9 alasiri siku ya Alhamisi, wakati ambapo Kimbunga Yagi kinakaribia.

Kiini cha Yagi, kimbunga cha 11 kwa mwaka huu kuikumba China, kilikuwa kikionekana baharini umbali wa takriban kilomita 540 kusini mashariki mwa Wilaya ya Xuwen, Mkoa wa Guangdong, saa 8 mchana siku ya Alhamisi.

Kimbunga Yagi kinakadiria kutua Ijumaa alasiri au jioni mahali fulani kati ya mji wa Qionghai huko Hainan na Mji wa Maoming huko Guangdong.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha