超碰caoporen国产公开,国产乱子伦精品免费视频,日韩美女一级黄片,丰满少妇棚拍无码视频

Chombo cha kwanza kikubwa cha FLNG kilichoundwa China chahamishwa kutoka Nantong hadi Zhoushan (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 10, 2024
Chombo cha kwanza kikubwa cha FLNG kilichoundwa China chahamishwa kutoka Nantong hadi Zhoushan
Picha hii ya droni iliyopigwa Desemba 9, 2024 ikionyesha chombo cha "NGUYA FLNG," ambacho ni chombo cha kuelea majini cha gesi kimiminika (FLNG), kikivutwa katika sehemu ya Nantong ya Mto Changjiang katika Mkoa wa Jiangsu, Mashariki mwa China. (Xu Congjun/Xinhua)

"NGUYA FLNG," chombo kikubwa cha kwanza cha kuelea majini cha gesi ya kimiminika (FLNG) kuundwa China, kimehamishwa kutoka Mji wa Nantong wa Mkoa wa Jiangsu hadi Mji wa Zhoushan wa Mkoa wa Zhejiang (yote miwili ya mashariki mwa China), ambapo itaunganishwa sehemu zake, kufungwa na kuboreshwa zaidi.

Chombo hicho cha FLNG kina uwezo wa kuifanya kuwa kumiminika na kuhifadhi moja kwa moja gesi asilia iliyovunwa kutoka kwenye eneo la pwani.?

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha