Lugha Nyingine
Chombo cha kwanza kikubwa cha FLNG kilichoundwa China chahamishwa kutoka Nantong hadi Zhoushan
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 10, 2024
"NGUYA FLNG," chombo kikubwa cha kwanza cha kuelea majini cha gesi ya kimiminika (FLNG) kuundwa China, kimehamishwa kutoka Mji wa Nantong wa Mkoa wa Jiangsu hadi Mji wa Zhoushan wa Mkoa wa Zhejiang (yote miwili ya mashariki mwa China), ambapo itaunganishwa sehemu zake, kufungwa na kuboreshwa zaidi.
Chombo hicho cha FLNG kina uwezo wa kuifanya kuwa kumiminika na kuhifadhi moja kwa moja gesi asilia iliyovunwa kutoka kwenye eneo la pwani.?
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma