Lugha Nyingine
Vitoto vya chuimilia wa Kusini mwa China vyapendeza
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 19, 2022
Vitoto viwili vya chuimilia wa Kusini mwa China vinaonekana vikiwa vimechangamka na kupendeza katika Bustani ya Wanyama ya Wangcheng ya Luoyang ya Mji wa Luoyang, Mkoa wa Henan. Vitoto hivyo viawili vya chuimilia wa China Kusini, kimoja ni cha kike na kingine ni cha kiume, vilizaliwa Septemba 25, 2021 na Novemba 12, 2021 kwa njia ya kuunganisha jini na vinasaba.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma