Lugha Nyingine
Stempu za Mwaka wa Chuimilia kwa kalenda ya kilimo ya China zatolewa Belarus
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 19, 2022
Mfanyakazi akionesha stempu za Mwaka wa Chuimilia kwa kalenda ya kilimo ya China huko Minsk, Mji Mkuu wa Belarusi Januari 18, 2022.
Januari 18, Belarusi ilitangaza stempu za Mwaka mpya wa Chuimilia wa China kwa kalenda ya kilimo ya China. Hii ni mwaka wa tatu mfululizo kwa nchi ya Belarusi kuchapisha stempu za wanyama wa Mwaka mpya wa China kwa kalenda ya kilimo ya China.
Shirika la Habari la China, Xinhua (Mpiga picha: Ren Kefu)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma