Lugha Nyingine
Soko la Bidhaa za Mwaka Mpya wa Jadi wa China lashamiri Guangzhou (6)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 25, 2022
Katika soko la mapambo kwenye mtaa wa Yide wa eneo la Yuexiu la Guangzhou nchini China, maduka mbalimbali yamejazwa na mapambo ya mwaka mpya wa jadi wa China. Wakazi wengi walikuja hapa Januari 24 pamoja na familia zao ili kununua mapambo kwa kukaribisha mwaka mpya wa jadi wa China wa chuimilia kwa kalenda ya kilimo ya China.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma