Lugha Nyingine
Shughuli za Utalii zashamiri kote China wakati ambapo likizo ya siku 5 ya Siku ya Wafanyakazi Duniani ikianza (7)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 30, 2023
Picha hii ya angani ikionyesha watu wanaotembelea Mto Baima kwa mashua huko Fuzhou, Mkoa wa Fujian, Kusini Mashariki mwa China, Aprili 29, 2023. (Xinhua/Jiang Kehong) |
Likizo ya siku 5 ya Siku ya Wafanyakazi Duniani ilianza jana Jumamosi nchini China. Katika kufurahia likizo hii, watu wengi kote nchini China wamepanga na kufanya safari za kitalii za kwenda kufurahia maeneo ya vivutio vya utalii ya ndani na nje ya China na kufanya utalii kushamiri.?
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma