Lugha Nyingine
Shughuli za Utalii zashamiri kote China wakati ambapo likizo ya siku 5 ya Siku ya Wafanyakazi Duniani ikianza (8)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 30, 2023
Picha hii iliyopigwa angani ikionyesha watu wanaotembelea eneo lenye mandhari nzuri la Huangshizhai huko Zhangjiajie, Mkoa wa Hunan, Katikati mwa China, Aprili 29, 2023. (Picha na Wu Yongbing/Xinhua) |
Likizo ya siku 5 ya Siku ya Wafanyakazi Duniani ilianza jana Jumamosi nchini China. Katika kufurahia likizo hii, watu wengi kote nchini China wamepanga na kufanya safari za kitalii za kwenda kufurahia maeneo ya vivutio vya utalii ya ndani na nje ya China na kufanya utalii kushamiri.?
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma