超碰caoporen国产公开,国产乱子伦精品免费视频,日韩美女一级黄片,丰满少妇棚拍无码视频

Picha: Wakulima watumia mashine za kilimo zenye teknolojia ya hali ya juu wakati wa kilimo cha majira ya mchipuko katika Mkoa wa Heilongjiang, China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 08, 2023
Picha: Wakulima watumia mashine za kilimo zenye teknolojia ya hali ya juu wakati wa kilimo cha majira ya mchipuko katika Mkoa wa Heilongjiang, China
Picha ikionesha kituo cha kutunza miche ya mpunga kwenye Kiwanda chenye teknolojia za akili bandia cha Shirika la Beidahuang tawi la Baoquanling. Kituo hicho kimewezesha usimamizi na udhibiti wa kiotomatiki na wa kiasi kidogo wa halijoto, kiwango cha uoevu, kiwango cha PH cha ardhi, na utumiaji wa mbolea. Picha/Xu Lei

Hivi sasa ni wakati muhimu wa kilimo katika majira ya mchipuko nchini China, na wakulima wa sehemu mbalimbali za Mkoa wa Heilongjiang wa China wana pilikapilika za kulima mashamba.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha