Lugha Nyingine
Picha: Wakulima watumia mashine za kilimo zenye teknolojia ya hali ya juu wakati wa kilimo cha majira ya mchipuko katika Mkoa wa Heilongjiang, China (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 08, 2023
Mfumo wa Beidou “ukiongoza” mashine kubwa za kisasa za kupanda mbegu kuharakisha mambo ya kilimo cha majira ya mchipuko huko Suihua, Heilongjiang. Picha/Jiang Baodong |
Hivi sasa ni wakati muhimu wa kilimo katika majira ya mchipuko nchini China, na wakulima wa sehemu mbalimbali za Mkoa wa Heilongjiang wa China wana pilikapilika za kulima mashamba.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma